Apple Yazindua Laptop Mpya ya MacBook Pro 16-inch (2019)

Baada ya tetesi za muda mrefu hatimaye kampuni ya Apple leo imezindua laptop mpya ya MacBook Pro 16-inch (2019), laptop hii ni maboresho ya laptop ya macbook pro ya inch 15. Laptop hii mpya inakuja na muundo unao fanana kwa kiasi kikubwa na Macbook Pro ya inch 15, lakini yenyewe ni pana zaidi na pia […] More

Soma Zaidi Hapa : Apple Yazindua Laptop Mpya ya MacBook Pro 16-inch (2019)