Motorola Yazindua Simu Inayo jikunja ya Motorola Razr (2019)

Kampuni ya Motorola nayo imeingia rasmi kwenye ulimwengu wa simu zinazo jikunja (Foldable Phone), hapo jana kampuni hiyo imezindua simu yake mpya ya Motorola Razr (2019) ambayo ni simu yenye muonekano kama simu ya zamani ya Motorola Razr ambayo ilikuwa ni simu bora sana kwenye miaka ya 90 kama wewe ni muhenga basi lazima unaijua […] More

Soma Zaidi Hapa : Motorola Yazindua Simu Inayo jikunja ya Motorola Razr (2019)