Hizi Hapa Sifa na Bei ya Samsung Galaxy S10 Lite

Kama wewe ni mfuatiliaji wa tovuti ya Tanzania Tech na Price in Tanzania, basi lazima unajua hivi karibuni Samsung imezindua rasmi simu yake mpya ya Galaxy S10 Lite. Simu hii inakuja na sifa bora na tofauti kabisa na simu ya Galaxy S10 ambayo ilizinduliwa rasmi mwaka 2019. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha sifa za simu […] More

Soma Zaidi : Hizi Hapa Sifa na Bei ya Samsung Galaxy S10 Lite

source https://tanzaniatech.one/2020/01/sifa-na-bei-ya-samsung-galaxy-s10-lite/